Umoja wa Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 9:
|}
'''Umoja wa Ulaya''' (Kifupi: '''[[EU]]''') ni
Ulianzishwa mwaka [[1991]] juu ya msingi wa [[Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya]].
Mstari 15:
Shabaha kuu zilikuwa kujenga [[uchumi]] wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia [[vita]] kati ya nchi za Ulaya.
Nchi 18 za Umoja huo hutumia [[pesa]]
Nchi nyingi za Umoja zimepatana kufungua mipaka yao bila vizuizi kwa wakazi wote.
Mstari 26:
[[Mapatano ya Schengen]] ilifungua mipaka ili wakazi wa nchi hizo waweze kusafiri bila [[pasipoti]] wala vibali.
Nchi 10 tena zilijiunga na
<gallery>
Mstari 43:
Kila mtu mwenye [[uraia]] wa nchi ya Umoja anaruhusiwa kuhamia nchi yoyote nyingine na kufanya [[kazi]] au [[biashara]] huko bila vibali vya pekee.
Vilevile [[bidhaa]] zote zinazotengenezwa kote katika
== Vyombo vya Umoja ==
Mstari 61:
Bunge la Ulaya lina wabunge 751 wanaochaguliwa na wananchi kila baada ya miaka mitano.
== Nchi wanachama
[[Picha:Umoja Ulaya-2007.png|thumb|right|500px|'''Nchi (jina la kienyeji - kifupi)'''<br />
Austria (Österreich - '''AT''')
|