Roberto Bellarmino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
 
== Maisha ==
[[File:Dottrina cristiana tradotta in lingua arabica.tif|thumb|''Dottrina cristiana breve'', 1752]]
=== Utoto na ujana ===
Roberto alizaliwa Montepulciano, wilaya ya Siena, Italia, tarehe 4 Oktoba 1542, katika familia kubwa, akiwa mtoto wa kiume wa tatu kati ya watano; wazazi wake walikuwa na asili ya kisharifu, lakini hali ya uchumi ilikuwa tofauti. Baba yake, Vincenzo Bellarmino, alikuwa jaji, na mama yake, Cinzia Cervini, alikuwa [[dada]] wa [[Papa Marcello II]].