Tofauti kati ya marekesbisho "Ufalme wa Byzanti"

3 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:Byzantine Empire animated.gif|thumb|right|350px|Mabadiliko ya eneo la Bizanti au Roma ya Mashariki]]
'''Ufalme wa Byzanti''' (kwa [[Kigiriki]]: Βυζαντινή Αυτοκρατορία) ni [[neno]] linalotumika kutaja [[Dola la Roma]] lilivyoendelea [[mashariki]] mwa eneo la kandokando ya [[bahari]] ya [[Mediteranea]] katika [[Zama za Kati]], ukiwa na [[Makao makuu|makao yake makuu]] kwenye [[mji]] wa [[Konstantinopoli]] (ulioitwa pia [[Bizanti]]) na kutumia [[lugha]] ya [[Kigiriki]].
 
Katika baadhi ya maana, hasa kuhusiana na wakati baada ya kuanguka kwa [[Dola la Roma Magharibi|Dola la Roma katika magharibi]] na mjini [[Roma]] penyewe, hujulikana pia kama '''[[Dola la Roma Mashariki]]'''.
 
Wabizanti wenyewe walijiona ni bado Dola la Roma likiendelea tu. [[Watawala]] walitumia cheo cha "[[Kaisari]]" kama awali.
 
Hata hivyo, kwa wakati mwingi wa [[historia]] yake, ulifahamika na wenzao wa [[Ulaya magharibi]] kama “Ufalme wa Wagiriki” au “Ufalme wa Konstatinopoli”Konstantinopoli” au "Rhômania".
 
Lakini majirani wa mashariki kama [[Waarabu]] waliendela kuwaita "Waroma" (kwa [[Kiarabu]] روم ''rum'').
 
Bizanti ilipata mapigo mawili makubwa katika [[historia]] yake:
* [[Uvamizi]] wa [[Waarabu]] [[Waislamu]] kuanzia mwaka [[636]] uliosababisha kupotea kwa majimbo ya [[Afrika ya Kaskazini]], [[Misri]] na [[Shamu]]
* Uvamizi wa [[jeshi]] la [[Wakristo]] la [[Vita vya msalaba]] walioteka mji wa Konstantinopoli mwaka [[1204]]. Shambulio hili lilisababisha [[nguvu]] za [[ufalme]] kufifia kabisa. Hata baada ya watawala wa Bizanti kurudi Konstantinopoli walikosa nguvu ya kujihami dhidi ya [[Waturuki]] [[Waosmani]]. Hatimaye hao waliteka Konstantinopoli mwaka [[1453]] na kumaliza kabisa Bizanti uliokuwa umetunza [[urithi]] wa [[Roma ya Kale]] hadi wakati ule.
 
Shambulio hili lilisababisha [[nguvu]] za [[ufalme]] kufifia kabisa. Hata baada ya watawala wa Bizanti kurudi Konstantinopoli walikosa nguvu ya kujihami dhidi ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] walioteka Konstantinopoli mwaka [[1453]] na kumaliza kabisa Bizanti uliokuwa umetunza [[urithi]] wa [[Roma ya Kale]] hadi wakati ule.
 
{{mbegu-historia}}