Altare : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Altar MGP 2004 ubt.jpeg|250px|thumb|right|Altare iliyotengenezwa huko [[Poland]] kwa ajili ya [[ziara]] ya [[Papa Yohane Paulo II]].]]
[[File:Holy Table (Valaam, Kareliya).jpg|thumb|right|Altare ya [[Liturujia ya Ugiriki|Kibizanti]] huko Valaam.]]
'''Altare''' au '''madhabahu''' ni mahali patakatifu inapotolewa [[sadaka]] au [[ibada]].
 
Mara nyingi altare inapatikana ndani ya [[hekalu]] au [[kanisa]].
 
Katika [[dini]] nyingi kuna [[madhehebu]] ya kafara, [[dhabihu]] au matoleo kwa [[Mungu]] au [[mizimu]]. Ndiyo sababu panahitajika mahali pa kufaa.
 
Katika [[Ukristo]] altare inatiwa maanani kwa kiasi tofauti kulingana na [[imani]] ya [[madhehebu]] husika juu ya [[Ekaristi]], iliyo [[ukumbusho]] wa [[sadaka]] pekee ya [[Yesu Kristo]] iliyotolewa [[Msalaba wa Yesu|msalabani]].
 
==Viungo vya nje==
Mstari 14:
*[http://www.pluralism.org/resources/tradition/essays/hindu3.php Altare ya Kihindu].
*[http://www.eng.taoism.org.hk/religious-activities&rituals/rituals/pg4-6-2.asp Altare ya Kitao].
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Dini]]