Tofauti kati ya marekesbisho "Msomaji"

450 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[File:Ernst R The Reader.jpg|thumb|Msomaji.]]
'''Msomaji''' ni [[mtu]] anayesoma [[maandishi]] fulani, hasa [[vitabu]]. Kwa njia hiyo anapokea [[ujumbe]] kutoka kwa [[waandishi]].
 
==Katika Ukristo==
[[File:Salerno 2013-05-17 10-57-41.jpg|thumb|[[Mimbari]] ya Aiello katika [[kanisa kuu]] la [[Salerno]], [[Italia]].]]
[[Immagine:Ambone1.JPG|thumb|Mimbari ya [[Pieve di Lemine]] huko [[Almenno San Salvatore]], [[Wilaya ya Bergamo|Bergamo]], Italia.]]
[[Immagine:Christian Flag etc Covenant Presbyterian Long Beach 20050213.jpg|thumb|Mimbari ya [[Wakalvini|Kikalvini]] huko [[Chicago]], [[Marekani]].]]
Katika [[Ukristo]] ni hasa [[jina]] la mtu anayesoma kutoka katika [[Biblia]] wakati wa [[ibada]], akiwa amejiandaa kutoa [[huduma]] hiyo kwa kiwango cha [[ubora]] ili [[Neno la Mungu]] lisikike vizuri.