Uzamili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uzamili''' (pia "masters" au "lisensiati") ni shahada ya pili inayotolewa na vyuo vikuu baada ya digrii ya bachelor na kabla ya shahada ya uzam...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:36, 27 Novemba 2017

Uzamili (pia "masters" au "lisensiati") ni shahada ya pili inayotolewa na vyuo vikuu baada ya digrii ya bachelor na kabla ya shahada ya uzamifu.

Shahada hiyo ya pili inamruhusu msomi aliyeipata afundishe katika taasisi za elimu ya juu.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uzamili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.