Antara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Akarabu_Nge_Scorpius.png|400px|thumb|Antara (Antares) katika kundinyota yake ya Akarabu (pia: Nge) – Scorpius jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji wa A...'
 
Mstari 7:
 
Kwa matumizi ya kimataifa Umoja wa Kimataifa wa Astronomia ulifuata mapokeo ya Kigiriki na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Antares" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>.
 
Alfa Scorpii (au <big>α</big> Scorpii) ni jina la Bayer kufuatana na utaratibu ulioanzishwa na Mjerumani [[Johann Bayer]] katika karne ya 17. Inamaanisha ni nyota angavu zaidi (hivyo inatajwa kwa herufi ya kwanza kwenye alafabeti ya Kigiriki) katika kundinyota ya "Scorpius" (kwa Kiswahili Akarabu au Nge).
 
==Tabia==