Ares : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 73 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q40901 (translate me)
No edit summary
Mstari 21:
 
'''Ares''' ([[Kigiriki]]: Άρης [[IPA|/ˈaris/]]; [[Kigiriki cha Kale]]: Ἄρης [[IPA|/árɛːs/]]) ni mungu wa [[vita]] na [[ujanadume]] katika [[mitholojia ya Kigiriki]]. Analingana na [[Mars]] katika dini ya [[Roma ya Kale]].
 
Sawa na Waroma Wagiriki waliona sayari ya nne (yaani [[Mirihi]]) kama ishara yake angani na kuiita "Ares".
 
{{mbegu-dini}}