Nyimbo za Kiinjili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Ukristo}} '''Nyimbo za Kiinjili''' (kwa Kiingereza ''Gospel music'' au ''Gospel songs'') ni aina ya muziki wa Kikristo ambayo inatofautiana kadiri ya ut...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Ukristo}}
'''Nyimbo za Kiinjili''' (kwa [[Kiingereza]] ''Gospel music'' au ''Gospel songs'') ni aina ya [[muziki wa Kikristo]] ambayo inatofautiana kadiri ya [[utamaduni]] na [[jamii]] zinapopatikana.
 
Lengo la [[nyimbo]] hizo linaweza kuwa [[uzuri]] zaidi, uenezi wa [[dini]] au hata [[ibada]], lakini pia [[burudani]] na [[biashara]].
Mstari 8:
Asili ya [[mtindo]] huo ni mwanzo wa [[karne ya 17]]<ref name="Gospel History Timeline">{{cite web|title=Gospel History Timeline|url=http://digitallibrary.usc.edu/gmha/controller/timeline.htm |publisher=University of Southern California|accessdate=January 31, 2012}}</ref> katika jamii zenye asili ya [[Afrika]].<ref name="Jackson, Joyce Marie 1995">Jackson, Joyce Marie. "The changing nature of gospel music: A southern case study." ''African American Review'' 29.2 (1995): 185. Academic Search Premier. EBSCO. Web. October 5, 2010.</ref>
 
Kati ya watunzi wa awali kuna [[George Frederick Root]], [[Philip Bliss]], [[Charles H. Gabriel]], [[William Howard Doane]] na [[Fanny Crosby]].<ref name="Malone_520">{{harvp|Malone|1984|p=520}}</ref>
 
Uenezi wa [[redio]] katika [[miaka ya 1920]] ilichangia sana nyimbo hizo kujulikana na kupendwa sehemu nyingi.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-muziki}}
[[Jamii:Muziki]]
 
[[Jamii:Muziki wa Kikristo]]
[[Jamii:Injili]]