Filimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Filimbi''' (pia: '''kipenga''', '''nai''', '''kikorombwe'''; kwa [[kikorombweKiingereza]] "whistle") ni [[ala ya muziki|ala ya]] [[muziki]] inayopigwa kwa kupulizwa. [[Hewa]] inapulizwa ndani kwa [[mdomo]] kupitia [[shimo]].
 
Inatumika kutoa [[sauti]] kali inayositisha [[shughuli]] au kuvuta [[usikivu]]. Ni maarufu hasa ile ya [[refa]] katika [[mechi]].