Zeze : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Zeze''' ni [[ala ya muziki]] ya [[Afrika]] [[Kusini kwa Sahara]].
 
Inaundwa na [[ngozi]] juu ya tungi la kitoma au [[ubao]] ulio bapa na shingo ndefu yenye [[nyuzi]] kadhaa kama za [[gitaa]]. Hupigwa kwa kuchezesha nyuzi hizo kwa kuzipiga au kuzicharaza ili kutoa [[sauti]].
 
==Viungo vya nje==