Kaunti ya Kiambu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza habari kuihusu kaunti.
No edit summary
Mstari 32:
}}
 
'''Kaunti ya Kiambu''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
 
'''Kaunti ya Kiambu''' niIlikuwa mojawapo ya [[kaunti za Kenyawilaya]] zilizopo baada yaza [[katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikanakatika [[mwaka]] [[2010]]. Ilikuwa mojawapoMkoa wa wilaya zaKati (Kenya katika )|Mkoa wa Kati]] baada ya nchi kupata uhuru. Mji mkuu wa kaunti hii ni mji wa [[Kiambuuhuru]].
 
Kaunti hii imepakana na kaunti za [[Kaunti ya Nairobi |Nairobi]] (kusini), [[Kaunti ya Machakos|Machakos]] (mashariki), [[Kaunti ya Nakuru|Nakuru]] (magharibi), [[Kaunti ya Nyandarua|Nyandarua]] (kaskazini magharibi) na [[Kaunti ya Murang'a|Murang'a]] (kaskazini). Kupakana na [[Nairobi]] kumeifanya iwe na idadi ya wakazi wengi mijini, kwa sababu ya maendeleo katika sekta ya mali yasiyohamishika. Sekta za viwanda na ukulima pia zimechangia kukuza kaunti hii kiuchumi.
[[Makao makuu]] ya kaunti hii ni [[mji]] wa [[Kiambu]].
 
Kaunti hii imepakana na kaunti za [[Kaunti ya Nairobi |Nairobi]] (kusini), [[Kaunti ya Machakos|Machakos]] (mashariki), [[Kaunti ya Nakuru|Nakuru]] (magharibi), [[Kaunti ya Nyandarua|Nyandarua]] (kaskazini magharibi) na [[Kaunti ya Murang'a|Murang'a]] (kaskazini). Kupakana na [[Nairobi]] kumeifanya iwe na idadi ya wakazi wengi mijini, kwa sababu ya maendeleo katika sekta ya mali yasiyohamishika. Sekta za viwanda na ukulima pia zimechangia kukuza kaunti hii kiuchumi.
 
Kupakana na [[Nairobi]] kumeifanya iwe na [[idadi]] ya wakazi wengi mijini, kwa sababu ya [[maendeleo]] katika sekta ya mali yasiyohamishika. Sekta za [[viwanda]] na [[Kilimo|ukulima]] pia zimechangia kukuza kaunti hii [[Uchumi|kiuchumi]].
 
==Serikali na Utawala==
Line 41 ⟶ 47:
 
===Bunge===
Bunge la Kaunti ya Kiambu ni lenyela chumba kimoja. Lina wajumbe 60 waliochaguliwa kutoka wadi sitini za kaunti na wajumbe 27 walioteuliwa<ref> http://kiambucountyassembly.go.ke/assembly/about-us.html</ref>. Kila mjumbe anashikilia hatamu ya miaka mitano, inayofanywa upya katika uchaguzi mkuu. Spika wa bunge na naibu wake huchaguliwa na wajumbe. Bunge la Kiambu liko katika mji wa Kiambu.
 
===Mahakama===
Kuna Mahakama MuuKuu ya Kiambu iliyoanzishwa Junitarehe 20, Juni 2016. Ina jaji mmoja.<ref> http://www.judiciary.go.ke/portal/blog/post/kiambu-gets-high-court</ref>
 
===Utawala===
Kamishna wa kaunti huteuliwa na Rais wa Kenya. Yeye ni mwakilishi wa rais kusaidia na mambo ya utawala wa serikali ya kitaifa.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-jio-Kenya}}
 
[[Jamii:Kaunti za Kenya]]