Hermoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{coord|33|24|58|N|35|51|27|E|type:mountain_scale:100000|format=dms|display=inline,title}} '''Hermoni''' (kwa Kiarabu: '''جبل الشيخ''', ''jabal-ash-...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{coord|33|24|58|N|35|51|27|E|type:mountain_scale:100000|format=dms|display=inline,title}}
[[:Picha:Hermonsnow.jpg|thumb|Mlima Hermoni kutoka mbali.]]
'''Hermoni''' (kwa [[Kiarabu]]: '''جبل الشيخ''', ''jabal-ash-Shaikh'', yaani "mlima wa shehe"; kwa [[Kiebrania]]: הר חרמון‎‎, Har Hermon) ni [[mlima]] wa [[Siria]] na [[Lebanoni]] ulio mrefu kuliko yote ya safu ya [[Lebanoni Ndogo]] na ya Siria nzima, ukiwa na [[kimo]] cha [[m]] 2,814 [[juu ya UB]].