Yordani (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q40059 (translate me)
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Yordani''' (kwa [[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden'',; kwa [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni [[mto]] mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana [[duniani]] kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. Hivyo katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.
 
Kwa sehemu kubwa ya njia yake uko chini ya [[usawa wa bahari]] na ni mpaka kati ya [[ufalme]] wa [[Yordani]] upande wa [[mashariki]] na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa [[magharibi]].
'''Yordani''' ([[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden'', [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni mto mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana duniani kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. Hivyo katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.
 
[[Chanzo (mto)|Chanzo]] cha Yordani ni mito minne inayobubujika karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani kwa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
Kwa sehemu kubwa ya njia yake uko chini ya [[usawa wa bahari]] na ni mpaka kati ya ufalme wa [[Yordani]] upande wa mashariki na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa magharibi.
 
Chanzo cha Yordani ni mito minne inayobubujika karibu na [[mlima Hermoni]] mpakani kwa Israel, [[Lebanon]] na [[Syria]].
 
Mito ya chanzo inaungana katika Israel ya kaskazini.
 
Yordani hupita eneo la [[Galilaya]] inapounda [[ziwa Genesareti]] na baada ya kutoka hapo inatelemka kwa kunyokakupindapinda mara nyingi hadi [[Bahari ya Chumvi]].
 
[[Mdomo]] wake uko 400 m 400 chini ya [[usawa wa bahari]], hivyo Yordani ni mto wa pekee kabisa duniani.
 
Kiasi cha [[maji]] kwenye sehemu ya [[kusini]] ya mto kimepungua sana kwa sababu Israel inavuta sehemu kubwa ya maji na kuitumia kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu[[binadamu]] katika [[miji]] yake.
 
[[Bonde la Yordani]] ni sehemu ya [[kaskazini]] ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] linaloendelea katika [[bonde la Araba]] na kupita [[Bahari ya Shamu]] hadi kuonekana tena [[Eritrea]].
 
[[Jamii:Mito ya Israel]]