Bahari ya Chumvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Dead sea newspaper.jpg|right|thumb|300px|[[Mtalii]] akielea kwenye maji ya Bahari ya Chumvi na kusoma [[gazeti]].]]
'''Bahari ya Chumvi''' (kwa [[Kiebrania]]: יָם הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח‎ ''yam ha-melaḥ'' "bahari ya chumvi"; kwa [[Kar.Kiarabu]]:''' ألبَحْر ألمَيّت‎''' ''al-bahrᵘ l-mayyit'', "bahari ya mauti") ni [[ziwa]] lililoko kati ya nchi za [[Israel]], [[Palestina]] na [[Yordani]].
 
Ziwa liko ndani ya [[bonde]] la [[mto Yordani]] ambalo ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Eneo lake ni takriban 600 [[km²]] 600.
'''Bahari ya Chumvi''' ([[Kiebrania]]: יָם הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח‎ ''yam ha-melaḥ'' "bahari ya chumvi"; [[Kar.]]:''' ألبَحْر ألمَيّت‎''' ''al-bahrᵘ l-mayyit'', "bahari ya mauti") ni ziwa lililoko kati ya nchi za [[Israel]], [[Palestina]] na [[Yordani]].
 
[[Mwambao]] wa ziwa ni mahali pa chini kabisa kwenye nchi kavu ya [[dunia]]: uko [[mita]] 400 chini ya [[uwiano wa bahari]]. Kwa sababu hiyo kuna [[joto]] kali linalosababisha maji mengi kugeuka [[mvuke]] na kuacha [[chumvi]] nyingi na: kiasi cha chumvi ni mara [[tisa]] kulinganisha na chumvi katika maji ya [[Bahari ya Kati]]. Kiasi hicho kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa [[samaki]] ndani yake; [[uhai wa]] pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
Ziwa liko ndani ya bonde la [[mto Yordani]] ambalo ni sehemu ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Eneo lake ni takriban 600 km².
 
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo [[binadamu]] [[ueleaji|huelea]] tu katika maji haya tu, bila ya kuhitaji jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika hapahuko wakiogelea na kujipakia [[matope]] ya ziwa yanayosemekana kuwa niana [[tabia]] za kuponya [[magonjwa]] ya [[ngozi]].
Mwambao wa ziwa ni mahali pa chini kabisa kwenye nchi kavu ya dunia uko mita 400 chini ya [[uwiano wa bahari]]. Kwa sababu hiyo kuna joto kali linalosababisha maji mengi kugeuka mvuke na kuacha [[chumvi]] nyingi na kiasi cha chumvi ni mara tisa kulinganisha na chumvi katika maji ya [[Bahari ya Kati]]. Kiasi hicho kikubwa cha chumvi kimezuia kuwepo kwa samaki ndani yake; uhai wa pekee ni aina za [[bakteria]] na [[algae]].
 
Israel na Yordani zimeanzisha [[viwanda]] vinavyosafisha aina mbalimbali za chumvi kwa matumizi ya kibiashara[[biashara]].
Kiasi kikubwa cha chumvi kimesababisha [[densiti]] ya maji yake kuwa juu; hivyo [[binadamu]] [[ueleaji|huelea]] katika maji haya tu bila ya kuhitaji jitihada yoyote. Watalii hupenda kufika hapa wakiogelea na kujipakia matope ya ziwa yanayosemekana kuwa nia tabia za kuponya magonjwa ya ngozi.
 
Kwa jumla kiasi cha maji ziwani kimerudi nyuma kwa sababu mto Yordani ambayo ni mto wa pekee unaoingia humo umehamishwa kwa shughuli za [[umwagiliaji]].
Israel na Yordani zimeanzisha viwanda vinavyosafisha aina mbalimbali za chumvi kwa matumizi ya kibiashara.
 
{{mbegu-jio-Asia}}
Kwa jumla kiasi cha maji ziwani kimerudi nyuma kwa sababu mto Yordani ambayo ni mto wa pekee unaoingia humo umehamishwa kwa shughuli za umwagiliaji.
 
[[Jamii:JiografiaMaziwa ya Israel]]
[[Jamii:JiogafiaMaziwa ya Palestina]]
[[Jamii:Maziwa ya Yordani]]
[[Jamii:Maziwa ya Biblia]]