Yordani (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 10:
| eneo = km²
| mdomo = [[Bahari ya Chumvi]]
| tawimito = [[Hazbani]], [[Dan (mto)|Dan]], [[Banyas]], [[Yarmuk]]
| tawimito kulia =
| tawimito kushoto =
Mstari 17:
}}
 
'''Yordani''' (kwa [[Kiebrania]]: נהר הירדן ''nehar hayarden''; kwa [[Kiarabu]]: نهر الأردن ''nahr al-urdun'') ni [[mto]] mdogo katika [[Mashariki ya Kati]] lakini ni kati ya mito inayojulikana sana [[duniani]] kwa sababu imetajwa mara nyingi katika [[Biblia]]. Hivyo katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya kidini.
 
Hivyo katika [[dini]] za [[Uyahudi]] na [[Ukristo]] Yordani ina maana ya pekee: kwa [[Wayahudi]] unakumbusha tukio la [[Yoshua]] kuwaongoza [[babu]] zao kuuvusha pakavu wakati wa kuvamia nchi ya [[Kanaani]]. Kwa Wakristo unakumbusha pia [[ubatizo wa Yesu]] kwa [[mikono]] ya [[Yohane Mbatizaji]].
 
Kwa sehemu kubwa ya njia yake uko chini ya [[usawa wa bahari]] na ni mpaka kati ya [[ufalme]] wa [[Yordani]] upande wa [[mashariki]] na maeneo ya [[Palestina]] na [[Israel]] upande wa [[magharibi]].