Bahari ya Chumvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Dead sea newspaper.jpg|right|thumb|300px|[[Mtalii]] akielea kwenye maji ya Bahari ya Chumvi na kusoma [[gazeti]].]]
[[File:Dead Sea Galilee.jpg|thumb|[[Picha]] kutoka [[Anga|angani]] ikionyesha bahari ya chumvi na maeneo ya jirani.]]
'''Bahari ya Chumvi''' (kwa [[Kiebrania]]: יָם הַ‏‏מֶ‏ּ‏לַ‏ח‎ ''yam ha-melaḥ'' "bahari ya chumvi"; kwa [[Kiarabu]]:''' ألبَحْر ألمَيّت‎''' ''al-bahrᵘ l-mayyit'', "bahari ya mauti") ni [[ziwa]] lililoko kati ya nchi za [[Israel]], [[Palestina]] na [[Yordani]].