Tofauti kati ya marekesbisho "Bruno Mkartusi"

16 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Image:San bruno.jpg|thumb|200px|right|Mtakatifu Bruno.]]
[[Image:José de Ribera 029.jpg|thumb|right|300px|Bruno, [[mwanzilishi]] wa Wakartusi.]]
'''Bruno Mkartusi''' ([[Cologne]], [[Ujerumani]], [[1030]] hivi - [[Serra San Bruno]], [[Italia]], [[6 Oktoba]] [[1101]]) alikuwa [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[mmonaki]] aliyeanzisha [[shirika la kitawa]] kwa [[wakaapweke]] ambalo linadumu mpaka leo ([[Wakartusi]]).
 
Tangu kale anaheshimiwa kama [[mtakatifu]].
Bruno Mkartusi ([[Cologne]], [[Ujerumani]], [[1030]] hivi - [[Serra San Bruno]], [[Italia]],
[[6 Oktoba]] [[1101]]) alikuwa [[padri]] wa [[Kanisa Katoliki]] na [[mmonaki]] aliyeanzisha [[shirika la kitawa]] kwa [[wakaapweke]] ambalo linadumu mpaka leo ([[Wakartusi]]).
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake inaadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.
 
== Maisha ==
Hatimaye alikubaliwa kwenda upwekeni Italia kusini.
=== Katika mkoa wa Calabria ===
Mwaka [[1090]] mtawala [[Roger I wa Sicilia]] alimtolea eneo kwenye [[mita]] 790 juu ya usawa wa bahari, mahali palipoitwa Torre, leo [[Serra San Bruno]], katika [[mkoa]] wa [[Calabria]].