Ghorofa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Storey"
 
No edit summary
Mstari 8:
 
Urefu wa kila ghorofa hulingana na urefu wa [[dari]] za  vyumba pamoja na unene wa [[sakafu]] kati ya kila kidirisha. Maghorofa ndani ya jengo hayana haja ya kuwa na urefu mmoja.
 
 
 
Kuna maegesho ya magari yaliyo ya ghorofa, hujulikana pia kama gereji la kuegeshea.
 
== Jinsi ya kuhesabu ==
Nambari ya ghorofa huhesabiwa kutumia mfumo wa kuhesabu ghorofa. Mifumo mmoja mkuu ya ni ule unaotumika Uropa ambao huhesabu sakafu ya chini (inayogusa ardhi) bila nambari na sakafu zilizo juu yake kuhesabiwa kutoka nambari 1 kwenda juu. Ule mwingine ni unaotumika Marekani na Kanada ambapo huhesabu nambari ya sakafu kutoka inayogusa ardhi.<ref>[https://books.google.com/books?id=lTCpFszJc5sC&pg=PA313#v=onepage&q&f=false Rick Steves' Europe through the back door 2011]</ref> 
 
=== Ulaya mpango ===
 
== Vitufe vya Lifti ==
[[Picha:Dover elevator button.jpg|thumb|Vitufe vya [[Eleveta|lifti]]]]
[[Picha:Dover_Custom_Impulse_elevator_control_panel.jpg|right|thumb|Ya Dover Desturi Msukumo Lifti kudhibiti jopo na sakafu hesabu. Katika majengo zaidi katika MAREKANI na Canada, hakuna kumi na tatu sakafu.<ref>{{Cite web|url=http://realtytimes.com/rtpages/20020913_13thfloor.htm|title=Bottom Line Conjures Up Realty's Fear Of 13|last=Perkins|first=Broderick|date=2002-09-13|publisher=Realty Times|accessdate=2008-04-14}}</ref> Ya ☆ inaonyesha kuu ya kuingia ghorofa.]]
Katika Kenya, na maeneo yanayotumia mfumo wa Uropa, lebo ya kitufe cha sakafu ya chini huwa 'G'. Sakafu zinazofuata huhesabu nambari 1 kuendelea. Sakafu zilizo chini ya ardhi huhesabu kutoka B1 kuendelea unavyoshuka.
 
 
 
== Angalia pia ==
* [[Sakafu]]
* [[Eleveta|Lifti]]
 
== Marejeo ==