Ghorofa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
kuongeza viungo |
||
Mstari 7:
Majengo ya kawaida huwa sakafu moja au mbili tu. Jengo refu zaidi katika dunia, [[Burj Khalifa]], lina sakafu 163.
[[Urefu]] wa kila ghorofa hulingana na urefu wa [[dari]] za vyumba pamoja na unene wa [[sakafu]] kati ya kila kidirisha. Maghorofa ndani ya jengo hayana haja ya kuwa na urefu mmoja.
Kuna maegesho ya magari yaliyo ya ghorofa, hujulikana pia kama gereji la kuegeshea.
== Jinsi ya kuhesabu ==
[[Namba|Nambari]] ya ghorofa huhesabiwa kutumia mfumo wa kuhesabu ghorofa. Mifumo mmoja mkuu ya ni ule unaotumika [[Ulaya|Uropa]] ambao huhesabu sakafu ya chini (inayogusa [[Nchi kavu|ardhi]])
== Vitufe vya Lifti ==
[[Picha:Dover elevator button.jpg|thumb|Vitufe vya [[Eleveta|lifti]]]]
|