Mauzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Sales"
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Multiple image|image1=Salesman -beach - bikini- sun-27Dec2008.jpg|image2=An ordianry fair in a rural village of sri lanka.jpg|direction=vertical|caption1=A beach salesman showing necklaces to a [[tourism|tourist]] in [[Mexico]]|caption2=A vegetable seller in a rural Sri Lankan village}}'''Mauzo''' ni shughuli inayohusiana na kuuza au kiasi cha bidhaa au huduma zinazouzwa katika kipindi cha muda fulani.
 
Muuzaji humaliza kitendo cha uuzaji baada ya kujibu mwito wa ununuzi. Kuna kupitisha umiliki wa [[bidhaa]] na kulipa, ambapo kuna makubaliano ya bei ambayo italipiwa bidhaa ile. Muuzaji ndiye hufanya tendo lile la uuzaji na uzo lile laweza kumalizika kabla ya mnunuzi kumaliza kulipa.