Mpasuaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuongeza waanzilishi
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Shushrut_statue.jpg|thumb|[[Sanamu]] iliyotolewa kwa daktari [[Uhindi|Mhindi]] wa [[upasuaji]] wa kale, [[Sushruta]], mpasuaji wa kwanza katika [[kumbukumbu]] za [[dunia]], ambaye huchukuliwa kama 'Baba wa Utabibu wa Upasuaji' na mmoja wa waanzilishi wa Upasuaji wa Plastiki.]]
Katika [[tiba]], '''Mpasuaji '''ni [[daktari]] wa [[tiba]] ambaye hufanya [[Upasuaji|shughuli za upasuaji]] katika [[kiungo|viungo]] mbalimbali ya [[binadamu]].
]]
Katika [[tiba]], '''Mpasuaji '''ni [[daktari]] ambaye hufanya [[Upasuaji|shughuli za upasuaji]].
 
Pia kuna Upasuajiupasuaji katika utabibu wa [[meno]] na utabibu wa [[mifugo]].
 
== Historia ==
[[Picha:Albucasis.gif|thumb|Al-Zahrawi, aliyeishi [[Nyakati za dhahabu za Kiislamu]] (Islamic Golden Age), ni daktari anayechukuliwa kuwa '"Baba wa Upasuaji wa Kisasa".]]
Mtu wa kwanza kuwekwa kwenye kumbukumbu kama daktari mpasuaji ni  [[Sushruta]] aliyeishi [[karne]] ya 6]]. Yeye alifanya [[upasuaji wa plastiki]] peke yake<ref name="auto">Ira D. Papel, John Frodel, ''Facial Plastic and Reconstructive Surgery''</ref>. [[Hati]] yake muhimu kabisa: ''Suśruta-saṃhitā'' ni [[moja]] ya hati muhimu zaidi za kale zilizoko kuhusu [[matibabu]] na huchukuliwa kama nakala msingi ya [[Ayurveda]] na upasuaji. Hati hii huongea kuhusu mambo yote ya matibabu ya kijumla, lakini mtafsiri G. D. Singhal alimwita Suśruta "baba wa upasuaji" kwa sababu ya usahihi usio wa kawaida na zaya kina iliyopokilichomo katika hati hizo.<ref>{{Cite book|title=Diagnostic considerations in ancient Indian surgery: (based on Nidāna-Sthāna of Suśruta Saṁhitā)|last=Singhal|first=G. D.|publisher=Singhal Publications|year=1972|location=Varanasi}}</ref>
 
[[Upasuaji]] ulipuuziliwaulipuuziwa kijumla hadi "Nyakati za dhahabu za Kiislamu" ambapo mpasuaji [[Al-Zahrawi]] ([[936]]-[[1013]]) alistawisha matibabu ya upasuaji. Yeye huchukuliwa kama mpasuaji mkuu zaidi wa kale aliyetoka [[Ulimwengu]] wa [[Kiislamu]].<ref name="Ahmad">{{citation|last=Ahmad|first=Z. ([[St Thomas' Hospital]])|title=Al-Zahrawi - The Father of Surgery|journal=ANZ Journal of Surgery|year=2007|volume=77|issue=Suppl. 1|doi=10.1111/j.1445-2197.2007.04130_8.x|pages=A83}}</ref> Mchango wake mkubwa kwa matibabu ni ''Kitab al-Tasrif'', [[kamusi elezo]] ya matibabu yenye [[juzuu]] [[thelathini]].<ref name="al-ZahrāwīStudies1973">{{cite book|last1=al-Zahrāwī|first1=Abū al-Qāsim Khalaf ibn ʻAbbās|last2=Studies|first2=Gustave E. von Grunebaum Center for Near Eastern|title=Albucasis on surgery and instruments|url=https://books.google.com/books?id=mjVra87nRScC&pg=PR8|accessdate=16 May 2011|year=1973|publisher=University of California Press|isbn=978-0-520-01532-6}}</ref>
Yeye alikuwa daktari wa kwanza kuelezea hali ya [[mimba]] kutoka chungu cha mtoto, na daktari wa kwanza kutambua hereditary asili ya [[Jenetikia|kijenetikia]] ya ''haemophilia''.
 
Michango yake kwenye tasnia ya taratibu za upasuaji na [[zana]] ilichangia kwa vikubwa kwa upasuaji lakini haikuwa hadi [[karne ya kumi na tisa19]] ambapo upasuaji ulichukuliwa kama tasnia kivyake katika matibabu huko [[Ulaya]] na ulimwengu wa [[Magharibi]].<ref name="MedievalLife">{{cite book|title=Handbook to Life in the Medieval World|first1=Madeleine Pelner|last1=Cosman|first2=Linda Gale|last2=Jones|publisher=[[Infobase Publishing]]|year=2008|series=Handbook to Life Series|volume=2|isbn=0-8160-4887-8|pages=528–530}}</ref>
 
Katika Ulaya, upasuaji mara nyingi Ulihusishwaulihusishwa na [[Kinyozi|vinyozi]]-wapasuaji waliotumia zana zao za kunyoa nywele kufanya upasuaji, mara nyingi katika [[vita]] na pia kwa wadhamini wao wa kifalme.

Pamoja na [[maendeleo]] katika [[dawa]] na [[tiba]], fani ya vinyozi na wapasuaji zilitengana; kwa karne ya 19 vinyozi-wapasuaji walikuwa karibu kutoweka, na wapasuaji walikuwa madaktari waliohitimu ambao walishikilia upasuaji pekee. 
 
== Wapasuaji waanzilishi ==
[[Picha:Ilya_Repin_Portrait_of_the_Surgeon_Nikolay_Pirogov_1881.jpg|thumb|Mpasuaji [[Urusi|Mrusi]] Nikolay Pirogov - mwanzilishi wa upasuaji wa [[Vita|vitani]]]]
* Sushruta
* Alfred Blalock (alifanya upasuaji wazi wa kwanza kwenye [[moyo]] uliofanikiwa 1994)
* Christian Barnaad (upasuaji wa moyo, alifanya [[Pandikiza|upandikizi]] wa kwanza wa moyo)
[[Picha:Victor_Horsley.jpg|thumb|Victor Horsley mwanzilishi wa upasuaji wa [[uti wa mgongo]] na [[seli]] za hisia]]
* Sushruta
* [[Alfred Blalock]] (alifanya upasuaji wazi wa kwanza kwenye [[moyo]] uliofanikiwa [[1994]])
* Christian[[Christiaan BarnaadBarnard]] (upasuaji wa moyo, alifanya [[Pandikiza|upandikizi]] wa kwanza wa moyo)
 
== MarejeleoMarejeo ==
{{reflist}}
 
{{mbegu-elimu}}
 
[[Jamii:Elimu]]
[[Jamii:Tiba]]