Rustiko wa Paris : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|[[Kifodini cha Mt. Denis na wenzake, Basilika la Mt. Denis.]] '''Rustiko wa Paris''' alik...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:04, 3 Desemba 2017

Rustiko wa Paris alikuwa Mkristo wa karne ya 3.

Kifodini cha Mt. Denis na wenzake, Basilika la Mt. Denis.

Akiwa shemasi huko Paris (Ufaransa) aliuawa pamoja na askofu Denis na padri Eleutherius kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

  • Drinkwater, J.F. (1987). The Gallic Empire : separatism and continuity in the north-western provinces of the Roman Empire, CE 260-274. Stuttgart: Franz Steiner Verlag Wiesbaden. ISBN 3-515-04806-5. 
  • Gregory of Tours (1988). Glory of the martyrs. Raymond Van Dam, trans. Liverpool: Liverpool University Press. ISBN 0-85323-236-9. 
  • Lacaze, Charlotte (1979). The "Vie de Saint Denis" Manuscript. New York: Garland. 
  • Van Dam, Raymond (1985). Leadership and community in late antique Gaul. Berkeley: University of California Press. ISBN 0-520-05162-9. 

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.