Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed typo, Nimerekebisha sarufi, Nimeongeza viungo
Tags: Mobile edit Mobile app edit
Tengua pitio 1020126 lililoandikwa na A'dilbek Qazyhanov (Majadiliano)
Mstari 7:
| Jina la kuzaliwa = Michael Joseph Jackson
| Amezaliwa = {{birth date|df=yes|1958|8|29}}<br />[[Gary, Indiana]], [[Marekani]]</small>
| Amekufa = {{death date and age|df=yes|2009|6|25|1958|8|29}}<br />[[Los Angeles]], Kalifornia, Marekani
| Amekufa =
| Ala = [[Kuimba|Sauti]], [[Ngoma]]
| Aina = [[Pop]], [[Rhythm na blues|R&B]], [[rock]], [[Muziki wa Soul|soul]]
| Kazi yake = Mwimbaji, mtunzi, mtayarishaji wa rekodi, dansa, koreografa, mwigizaji, mtunzi wa vitabu, mfanyabiashara, minyamihela
Mstari 16:
| Tovuti = [http://www.michaeljackson.com MichaelJackson.com]
}}
'''Michael Joseph Jackson''' ([[29 Agosti]] [[1958]] – [[25 Juni]] [[2009]]) alikuwa mwimbaji, dansa na mburudishaji kutoka nchini Marekani. Hufahamika zaidi kwa jina la kiheshima-utani kama Mfalme wa Pop. Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya muziki. Michango yake katika muziki, dansi na fasheni,<ref name="Jackson: A Fashion Retrospective">film.com: [http://www.film.com/celebrities/michael-jackson/story/michael-jackson-a-fashion-retrospective/28853307''Michael Jackson: A Fashion Retrospective,] 29. Novemba 2009</ref> na hasa suala la kuanika hadharani maisha yake binafsi, imemfanya awe kioo cha ulimwengu katika tamaduni maarufu kwa ziaidi ya miongo minne .
 
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la [[The Jackson 5]] mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya usanii wa kujitegemea kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 ''[[Thriller]]'' imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote. Mchango waka katika utengenezaji wa muziki wa video umeinua kutoka katika hali ya kawaida hadi katika hali ya kisanii zaidi: video zake kama vile ''[[Billie Jean]]'', ''[[Beat It]]'' na '' [[Thriller (wimbo)|Thriller]]'' inamfanya kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye [[MTV]]. Jackson ameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile [[robot (dansi)|robot]] na [[moonwalk (dansi)|moonwalk]]. Staili ya muziki wake, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni.