Uhodhisoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=|thumb|''"Napenda Ushindani Mdogo"—J. P. Morgan''. [[Katuni hiyo ya Art Young inaripoti jibu la J. P. M...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:I Like a Little Competition.jpg|alt=|thumb|''"Napenda Ushindani Mdogo"—J. P. Morgan''. [[Katuni]] hiyo ya [[Art Young]] inaripoti [[jibu]] la [[J. P. Morgan]] alipoulizwa na [[Pujo Committee]] kuhusu ushindani katika [[biashara]].<ref>{{cite book|url=https://books.google.com/books?id=XZqVCv435J8C&pg=PA93#v=onepage&q&f=false|title=J. Pierpont Morgan: Industrialist and Financier|author=Michael Burgan|page=93|year=2007|isbn=9780756519872}}</ref>]]
'''Uhodhisoko''' (kutokana na [[kitenzi]] "kuhodhi" na neno "[[soko]]"; kwa [[Kiingereza]] "monopoly", kutoka [[Neno|maneno]] mawili ya [[Kigiriki]]: monos, yaani "pekee", na polein, yaani "kuuza") ni hali ya [[uchumi]] ambapo [[watu]] wachache au [[kampuni]] chache, kama si [[moja]] tu, hudhibiti [[soko]] la [[bidhaa]] fulani kiasi kwamba washindani hawawezi kuliingilia. Hali hiyo inaathiri upangaji wa [[bei]] na mambo mengine yanayohusu bidhaa hiyo.
 
==Tanbihi==