Nyuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 56 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q28390 (translate me)
No edit summary
Mstari 3:
 
[[Nusuduara]] ina 180°. [[Pembemraba]] ina 90°. Jumla ya pembe ndani ya [[pembetatu]] ni 180°, ndani ya [[mstatili]] ni 360°.
 
Nyuzi inaweza kugawiwa tena kwa dakika na [[sekunde ya tao]]. Dakika ya tao ni sehemu ya 60 na sekunde ya tao ni sehemu ya 3600 ya nyuzi moja.
 
== Historia ==