Sekunde ya tao : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sekunde ya tao''' (ing. arc second) ni kipimo cha pembe. Inataja sehemu ya 3600 ya nyuzi moja. Sekunde 60 z...'
 
No edit summary
Mstari 8:
*'''milisekunde ya tao''' au '''mas''' ni sehemu ya elfu moja (0.001″) ya sekunde moja ya tao
*'''mikrosekunde ya tao''' au '''µas''' ni sehemu ya milioni moja ya sekunde ya tao.
 
Kipimo cha kawaida cha umbali katika astronomia (pamoja na [[kizio astronomia]] na [[mwaka wa nuru]]) ni [[parsek]] inayofafanuliwa kuwa umbali kati ya Jua na gimba la angani linaoonekana kwa pembe la [[paralaksi]] la sekunde moja ya tao (1 arcsecond).
==Mifano==
*sekunde za tao 60 (=dakika 1 ya tao) zinalingana na pembe jinsi tunavyoona kiolwa chenye upana wa mita moja kwa umbali wa mita 3,438.
*sekunde za tao 20 zinalingana na pembe jinsi tunavyoona kiolwa chenye upana wa sentimita moja kwa umbali wa mita 100.
*milisekunde ya tao 1 inalingana takriban na pembe jinsi tunavyoona umbali wa mita 1.9 kwenye uso wa Mwezi.