Mwangaza halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mwangaza halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru ya nyota au magimba mengine ya anga jinsi ilivyo kwa umbali sanifu wa [[miaka ya nuru]...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Mwangaza halisi''' ni kipimo cha ukali wa nuru ya [[nyota]] au [[gimba la angani|magimba mengine ya anga]] jinsi ilivyo kwa umbali sanifu wa [[miaka ya nuru]] 32.6 au [[parsek]] 10.
 
Mwangaza halisi ni tofauti na [[mwangaza unaoonekana]] jinsi tunavyouonatunavyoona nyota kutoka Dunia. Maana mwangaza tunaoona unategemea na ukubwa wa nyota, umbali wake na mambo mengine. Nyota ndogo na hafifu iliyo karibu nasi katika anga la nje itaonekana angavu kushinda nyota kubwa iliyo mbali. Hii ni sawa na kuangalia [[taa]] iliyo karibu au mbali.