Mbwa Mkubwa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+picha
Mstari 1:
[[Picha:Mbwa Mkubwa Canis Major.png|400px|thumb|Nyota za Mbwa Mkubwa (Canis Major) katika mazingira yao angani]]
 
[[Image: Canis Major_IAU.svg|thumb|right|400px|NyotaRamani zaya kundinyota Mbwa Mkubwa (Canis Maior) katikajinsi sehemuinavyoonekana kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya yaokaskazini]] ya anganiDunia]]
'''Mbwa Mkubwa''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] '''[[:en:Canis Maior|Canis Maior]]''') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Canis Maior" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Canis Maioris " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Canis Maioris, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya [[dunia]] yetu. [[Shira]] (Sirius) ambayo ni nyota angavu zaidi angani ni sehemu ya Mbwa Mkubwa.