Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Hali halisi hajikufanya Rais, alikuwa Rais, aidha kwa kuingia kwa mtutu au kiuchaguzi. Maana ni ilele tu ya kuwa rais.
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 18:
Kufuatana na Fred Guweddeko wa [[Chuo Kikuu cha Makerere]] Idi Amin alikuwa [[mwana]] wa Andreas Nyabire (1889–1976) wa [[kabila]] la [[Wakakwa]], ambaye alikuwa [[Mkatoliki]] aliyehamia [[Uislamu]] mnamo [[1910]] akibadilisha [[jina]] lake kuwa Amin Dada na kumpa mwana wa kwanza jina hilo pia.
 
Iddi Amin alilelewa na [[mama]] yake bila [[baba]] [[Kijiji|kijijini]] katika Uganda ya Kaskazini-magharibi. Kufuatana na Gudewekko mamake Amin Assa Aatte (1904–1970) alikuwa [[Mlugbara]] aliyetibu watu kwa [[mitishamba]]. Amin alisoma miaka kadhaa kwenye [[shule]] ya Kiislamu huko [[Bombo, Uganda|Bombo]] kuanzia mwaka [[1941]].
 
===Amin mwanajeshi===