Idi Amin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Luwum and Amin.jpg|thumb|250px|Idi Amin pamoja na [[Askofu Luwum]] aliyeuawa baadaye kwa amri yake.]]
[[Picha:Amin is carried.jpg|thumb|250px|Idi Amin akibebwa kifalme na [[wafanyabiashara]] [[Waingereza]] huko [[Kampala]].]]
'''Idi Amin Dada''' (/ˈiːdi ɑːˈmiːn/;  1923–28 [[1923]]–[[1928]] – [[16 Agosti]] [[2003]]) alikuwa [[mwanasiasa]] na [[afisa]] wa [[jeshi]] ambaye alikuwaalipata kuwa [[Rais]] wa [[Uganda]] kuanzia [[mwaka]] [[1971]] hadi [[1979]]. Alitawala [[dikteta|kidikteta]] ilhali [[uchumi]] wa nchi uliporomoka na makosa mengi ya [[jinai]] dhidi ya [[haki za kibinadamu]] yalitendwa.
 
[[Idadi]] ya watu waliouawa Uganda kutokanachini naya [[utawala]] wake imekadiriwa kuwa kati ya 100,000<ref name="Ullman1978">{{cite journal|last=Ullman|first=Richard H.|title=Human Rights and Economic Power: The United States Versus Idi Amin|journal=[[Foreign Affairs]]|date=April 1978|url=http://www.foreignaffairs.com/articles/29141/richard-h-ullman/human-rights-and-economic-power-the-united-states-versus-idi-ami|accessdate=26 March 2009|quote=The most conservative estimates by informed observers hold that President Idi Amin Dada and the terror squads operating under his loose direction have killed 100,000 Ugandans in the seven years he has held power.}}</ref> na 500,000.<ref name="guardian_obit">{{cite news|last=Keatley|first=Patrick|title=Obituary: Idi Amin|url=https://www.theguardian.com/news/2003/aug/18/guardianobituaries|work=[[The Guardian]]|date=18 August 2003|accessdate=18 March 2008|location=London}}</ref>
 
Katika miaka yake ya kushika [[serikali]] Amin alibadilika kutoka uhusiano wa kirafiki na [[nchi za magharibi]], na hasa [[Israeli]], kuhamia upande wa [[Muammar Gaddafi]] wa [[Libya]], [[Mobutu Sese Seko]] wa [[Zaire]], [[Umoja wa Kisovyeti]] na [[Ujerumani ya Mashariki]].<ref name=libya1>{{cite book|title=Africa Since 1800|author=Roland Anthony Oliver, Anthony Atmore|page=272}}</ref><ref name=ussr1>{{cite book|title=Who influenced whom?|author=Dale C. Tatum|page=177}}</ref><ref name=gdr1>Gareth M. Winrow. ''The Foreign Policy of the GDR in Africa'', p. 141.</ref> Hata hivyo Amin alipata usaidizi wa [[CIA|ofisi ya upelelezi ya Marekani CIA]] iliyotuma [[silaha]] na vifaa vingine kwa jeshi lake.<ref>New York Times, Dec. 17, 1986; ''Paper Cites CIA Aid to Amin's Army in 70s''</ref>
 
Mwaka [[1977]] Amin alivunja [[uhusiano wa kidiplomasia]] na [[Ufalme wa Maungano]] ([[Uingereza]]) akajitangaza kuwa alishinda na kujiongezea sifa ya CBE ("Conqueror of the British Empire"). Kuanzia wakati ule [[cheo]] chake rasmi kilikuwa "His Excellency President for Life, Field Marshal Alhaji Dr. Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE".<ref name="guardian_obit" />