Beta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
link
Mstari 6:
Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fizikia]]. Imejulikana hasa kama jina la pembe ya pili katika [[pembetatu]].
 
Katika [[falaki]] inatumiwa sana kwa hesabu ya nyota katika [[kundinyota]]. Katika [[Johannjina la Bayer|mfumo wa Bayer]] inataja nyota angavu ya pili katika kundinyota fulani. Kwa mfano nyota yetu jirani katika ulimwengu inaitwa "[[Alfa Centauri]]". Imeitwa hivyo kwa sababu inang'aa kushinda nyota zota za kundinyota ya Centaurus. Inayofuata ni "beta Centauri" na kadhalika.
 
Katika programu za komyuta "toleo la beta" (=beta-version) humaanisha toleo la awali la programu. Wahariri wanaitoa kama imeshakamilika lakini kabla ya kuiuza wanatoa nakala kwa majaribio ili makosa yaonekana.