Tofauti kati ya marekesbisho "Antara"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
(viungo vimesahihishwa)
Kwa matumizi ya kimataifa Umoja wa Kimataifa wa Astronomia ulifuata mapokeo ya Kigiriki na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Antares" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>.
 
Alfa Scorpii (au <big>α</big> Scorpii) ni [[jina la Bayer]] kufuatana na utaratibu ulioanzishwa na Mjerumani [[Johann Bayer]] katika karne ya 17. Inamaanisha ni nyota angavu zaidi (hivyo inatajwa kwa herufi ya kwanza kwenye alafabeti ya Kigiriki) katika kundinyota ya "Scorpius" (kwa Kiswahili Akarabu au Nge).
 
==Tabia==