Almagesti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '400px|thumb|Toleo la Almagesti kwa Kigiriki (Mathematike Sintaksis) la mwaka 1900 Picha:Mfumo wa Ptolemaio.png|400...'
 
Mstari 18:
*Vitabu 7 + 8: Miendo ya nyota, orodha ya kundinyota na nyota; humo alianzisha utaratibu wa kupanga nyota kufuatana na [[mwangaza unaoonekana]], akitofautisha ngazi 6 za mwangaza
*Vitabu 9–13: vinajadili miendo ya sayari alizojua yaani zile zinazoonekana kwa macho matupu yaani [[Utaridi]] (Mercury), [[Zuhura]] (Venus), [[Mirihi]] (Mars), [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohali]] (Saturn)
 
Katika Almagesti Ptolemaio alitaja [[kundinyota]] 48 ambazo ni msingi wa kundinyota 88 za kisasa. Pamoja na kundinyota aliorodhesha nyota 1020 na kwa kila nyota aliongeza vipimo vilivyowezesha wasomaji wake kukuta kila nyota kwenye anga.<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/almagest.htm Ptolemy’s Almagest], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Disemba 2017</ref>
 
==Mapokeo==