Almagesti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
*Vitabu 9–13: vinajadili miendo ya sayari alizojua yaani zile zinazoonekana kwa macho matupu yaani [[Utaridi]] (Mercury), [[Zuhura]] (Venus), [[Mirihi]] (Mars), [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohali]] (Saturn)
 
Katika Almagesti Ptolemaio alitaja [[kundinyota]] 48 ambazo ni msingi wa kundinyota 88 za kisasa. Pamoja na kundinyota aliorodhesha nyota 1020 na kwa kila nyota aliongeza vipimo vilivyowezesha wasomaji wake kukuta kila nyota kwenye anga.<ref>[http://www.ianridpath.com/startales/almagest.htm Ptolemy’s Almagest], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Disemba 2017</ref> Leo hii watafiti huamini ya kwamba Ptolemaio mwenyewe alitumia orodha iliyowahi kutungwa miaka 300 kabla yake na [[Hipparchos wa Nikaia|Hipparchos]] pamoja na vipimo vyake. <ref>[http://dioi.org/vols/wc0.pdf Pickering, The Southern Limits of the Ancient Star Catalog and the Commentary of Hipparchos], The International Journal of Scientific History, Vol. 12 2002 Sept ISSN 1041›5440, </ref>
 
==Mapokeo==
Mstari 29:
 
Hata hivyo orodha ya kundinyota 48 ya Ptolemaio katika Almagesti imepokelewa katika orodha rasmi ya kundinyota 88 iliyotolewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] na kuwa msingi wake.
 
==Marejeo==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==