Biotekinolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:COLLECTIE TROPENMUSEUM Man drinkt bier (pombe) op het bordes van Dr. Thoden van Velzen terwijl kinderen toekijken TMnr 20014576 (cropped).jpg|300px|thumb|Kupika pombe ni kati ya matumizi ya kwanza ya biotekonolojia]]
'''Biotekinolojia''' ni aina ya [[tekinolojia]] inayotumia elimu ya [[biolojia]] kwa manufaa ya kibinadamu. Ni elimu pana sana inayoanza kwenye shughuli za kuchachusha mkate au pombe hadi kutumia mitambo ya hali ya juu katika maabara za kisasa.
 
Line 8 ⟶ 9:
 
==Historia==
Tangu miaka mielfu watu walitumia mbinu za biotekiolojia kwa kutengeneza [[mkate]], [[divai]] au [[pombe]]. WatengenazajiWatengenezaji walitumia bakteria za [[hamira]] kwa matokeo yaliyotafutwa lakini bila kujua habari za viumbe vidogo sana waliowafanyia kazi hii.
 
Tangu kale watu walitumia bakteria ya [[kasini]] (chumvi ya maziwa) kwa kupata [[jibini]] na [[mtindi]].