Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
 
==Jina==
Jina la Kiswahili ni Mizani na linatokana na Kiarabu <big>ميزان </big> ''mizan'' ambalo linamaanisha "mizani". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Waroma wa Kale]] waliosema Libra ("mizani"). Kati ya mataifa ya kale mara nyingi nyota za Mizani zilihesabiwa kuwa sehemu ya [[Akarabu (kundinyota)|Akarabu (nge)]], pamoja na kuangaliwa kama kundi la pekee.<ref> Hinkley, Star-names and their meanings 269 ff </ref> Ptolemaio alitumia jina la Χηλαι ''khelai'' inayomaanisha "magando" yaani magando ya nge lakini aliiorodhesha kama kundinyota ya pekee<ref>Toomer (1984), uk. 371</ref>.
 
== Mahali pake ==