Solistasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' {| class="wikitable" style="font-size: 85%; text-align: center; float: right; clear: right; margin: 0 0 1em 1em" |- ! colspan="9" | Saa za muda sanifu wa dun...'
 
No edit summary
Mstari 53:
|20||03:50||20||21:44||22||13:31||21||10:02
|}
'''Solistasi''' (pia:'''solistisi''', kutoka [[ing.]] ''[[:en:solstice|solstice]]''<ref>Asili ni neno la [[Kigiriki]] ἡλιοστάσιον ''hēliostásion'' "kusimama kwa Jua")</ref>) ni jina la siku mbili ambako tofauti baina urefu wa mchana na usiku ni kubwa zaidi. Inatokea mara mbili kwa mwaka. Mtazamaji aliye kwenye ikweta haiwezi kuiona lakini kadri anavyokaa upande wa kusini au kaskazini wa ikweta tofauti huwa kubwa zaidi.
 
Tarehe zake ni 20 au 21 Juni halafu 21 au 22 Desemba.
 
Kwa kawaida kuna tofauti kati ya urefu wa mchana na usiku isipokuwa karibu na ikweta. Karibu na ncha za dunia muda wa usiku na mchana unaweza kuwa mrefu hadi karibu nusu mwaka lakini kwa kawaida kuna majira ya mchana mrefu na usiku mrefu zinazobadilishana polepole. Mwendo huu unatokea kinyume kwenye nusutufe mbili za dunia yaani wakati mchana unarefuka kwenye nusutufe ya kaskazini usiku unarefuka kwenye nusutufe ya kusini.
Wakati wa solistasi ya [[Juni]] Jua linafika mahali pa juu kwenye anga kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya Dunia, baadaye inaanza kushuka yaani kuonekana chini zaidi angani hadi [[Sikusare otomnia|sikusare ya Septemba]]. Siku ileile Jua linafika mahali pa chini angani pawezekanavyo kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia.
 
Katika kanda karibu na ikweta hazionekani kirahisi lakini kwenye nusutufe za dunia upande wa kusini na kaskazini ya ikweta zimetambuliwa tangu karne nyingi na zimekuwa siku muhimu kwa makadirio ya [[kalenda]] mbalimbali.
 
Wakati wa solistasi ya [[Juni]] Jua linafika mahali pa juu kwenye anga kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya Dunia, baadaye inaanza kushuka yaani kuonekana chini zaidi angani hadi [[Sikusare otomnia|sikusare ya Septemba]]. Kwa hiyo njia yake angani ni ndefu na hivyo muda wa mchana ni mrefu. Siku ileile Jua linafika mahali pa chini angani pawezekanavyo kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia. Hapa njia yake angani ni fupi hivyo muda wa mchanani mfupi.
 
Kinyume chake muda wa usiku unabadilika kuwa mrefu au mfupi.
 
Vivyo hivyo wakati wa Desemba Jua Jua linafika mahali pa juu kwenye anga kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia, baadaye inaanza kushuka yaani kuonekana chini zaidi angani hadi [[Sikusare machipuo|sikusare ya Machi]]. Siku ileile Jua linafika mahali pa chini angani pawezekanavyo kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya Dunia.
 
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Jamii:Kalenda]]
[[Jamii:Wakati]]
[[Jamii:Astronomia]]