Biotekinolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:COLLECTIE TROPENMUSEUM Man drinkt bier (pombe) op het bordes van Dr. Thoden van Velzen terwijl kinderen toekijken TMnr 20014576 (cropped).jpg|300px|thumb|Kupika pombe inamaanisha kutumia uwezo wa bakteria ya hamira. Hii ni kati ya matumizi ya kwanza ya biotekonolojia]]
'''Biotekinolojia''' ni aina ya [[tekinolojia]] inayotumia [[elimu]] ya [[biolojia]] kwa manufaa ya kibinadamu[[binadamu]]. Ni elimu pana sana inayoanza kwenye shughuli za kuchachusha [[mkate]] au [[pombe]] hadi kutumia mitambo ya hali ya juu katika [[maabara]] za kisasa.
 
[[Jina]] latokana na [[Neno|maneno]] ya [[Kigiriki]] “βιος” (bios, uhai), na“τεγνɳ” “τεγνικος”(technee, ufundi) na (technikoslogia, matumizielimu).
 
Tekinolojia hii hutumiwa hasa katika [[kilimo]], [[uzalishaji]] wa [[vyakula]] na [[tiba]]. [[Viumbehai]] kama [[mimea]] na [[bakteria]], [[dutu]] za kibiolojia kama [[vimeng'enya]] na kadhalika hutumiwa kwa kupata dutu, [[kemikali]], [[mazao]] na [[bidhaa]] nyingine. Kuna pia maeneo mengine ambako biotekinolojia inafanyiwa majaribio.
 
Mara nyingi biotekinolojia hudhaniwa ilitokea juzijuzi tu kwa njia ya [[fani]] kama [[uhandisi jenetikia]]. Lakini hali halisi mbinu zake zimeshatumiwa tangu kale katika [[tamaduni]] zilizogundua njia za kufuga [[wanyama]] na kuzalisha mimea.
 
==Historia==
Tangu miaka mielfu[[elfu]] kadhaa [[watu]] walitumia mbinu za biotekiolojia kwa kutengeneza [[mkate]], [[divai]] au [[pombe]]. Watengenezaji walitumia bakteria za [[hamira]] kwa matokeo yaliyotafutwa lakini bila kujua habari za viumbe vidogo sana waliowafanyia [[kazi]] hii.
 
Tangu kale watu walitumia bakteria ya [[kasini]] (chumvi ya maziwa) kwa kupata [[jibini]] na [[mtindi]].
 
Nje ya vyakula watu walitumia tangu kale dutu zenye [[vimeng'enya]] (mfano: [[samadi]], [[mawi]]) ili kulainisha [[ngozi]] kwa matumizi ya nguo[[mavazi]].
 
==Sayansi na biotekinoloia==
Tangu kutokea kwa [[mikrobiolojia]] [[wataalamu]] walianza kutambua viumbehai vidogo sana yaani [[bakteria]] zinazofanya kazi katika michakato hii. [[Maendeleo]] haya yalitegemea kugunduliwa kwa [[hadubini]].
 
Katika [[karne ya 19]] [[Louis Pasteur]] aliweza kutenganisha [[bakteria safi]] za [[asidi asetia]] na [[hamira]]. Baada ya kugundua utengaji wa aina za bakteria safi na kufanikiwa kuzifuga kulikuwa na msingi kwa [[chanjo]] za kwanza dhidi ya [[magonjwa]]. Hapo wataalamu kama Pasteur na [[Robert Koch]] walitenganisha bakteria za kusababisha magonjwa. Halafu waliingiza kiasi kidogo cha bakteria dhaifu za aina husika katika [[damu]] ya watu ziliposababisha mfumo[[Mfumo wa kingakingamaradhi]] [[Mwili|mwilini]] kujua bakteria hizi na kujenga [[kinga]] dhidi yao.
Elimu hii iliruhusu kuandaa [[chanjo]] mbalimbali dhidi ya magonjwa, tena kwa wingi, katika maabara makubwa na kutoa chanjo kwa wakazi wa nchi yote.
 
Tangu mwaka [[1916]] [[Chaim Weizmann]] <ref>Weizmann alikuwa baadaye [[rais]] wa [[Israel]]</ref> alitambua namna ya kutengeneza [[butanoli]] na [[asetoni]] kwa kutumia bakteria za clostridium acetobutylicum akatengeneza dutu hii kwa wingi wa ajili ya [[viwanda]] vya [[baruti]] wakati wa [[Vita vya kwanza vya dunia|vita ya kwanza ya dunia]].
 
Tangu mwaka [[1920]] [[asidi sitiriki]] iliweza kutengezewa kwa kutumia [[kuvu]] ya aspergillus niger. Mfano mwingine ni utengezaji wa [[amino asidi]] bakteria za corynebacterium glutamicum.
 
Kuna mifano mingi mingine mingi jinsi gani dutu ambazo ni muhimu katika michakato za kisasa viwandani zinapatikana kwa njia ya bioteknolojia.
Katika [[nusu]] ya pili ya [[karne ya 20]] [[sayansi]] ilianza kuelewa kuwepo kwa [[DNA]] ndani ya [[seli]] za viumbehai na kutumia elimu hii. Utambuzi huu uliongeza uhakika wa uteuzi, ufugaji na uzalishaji kwa kutumia [[tabia]] zile tu zizotafutwazinazotafutwa na kujulikana kwenye DNA.
 
Mfano ni kutengenezwa kwa mazao ambayo DNA imebadilishwa ili kutoambukizwa na magonjwa fulani ya mimea. [[Kampuni|Makampuni]] makubwa ya kilimo yamegundua mimea iliyobadilishwa DNA ambazo hazigonjeki kutokana na matumizi ya [[sumu]] ya madawa; yanauza [[mbegu]] ya mimea ya [[jeni zilizobadilishwa]] pamoja na dawa linalofaa pamoja naye. Hii inaongeza [[mavuno]] na pia [[mapato]] ya makampuni husika.
 
==Marejeo==