Tofauti kati ya marekesbisho "Wilaya ya Kibaha Vijijini"

no edit summary
 
[[Picha:Tanzania Kibaha location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Kibaha (kijani) katika [[mkoa wa Pwani]].]]
'''Wilaya ya Kibaha Vijijini''' ni [[wilaya]] mojawapo yakatika [[Mkoa wa Pwani]] nchini [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''61200 ''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf</ref>. Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kibaha ya awali. Mwaka [[2012]] wilaya hii iligawiwa kuwa wilaya mbili za pekee, Kibaha Vijijini pamoja na ile ya [[Kibaha (mji)|Kibaha Mjini]].
 
Katika [[sensa]] ya mwaka [[2012]], idadi ya wakazi wa wilaya ya Kibaha Vijijini ilihesabiwa kuwa 70,209 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Pwani - Kibaha DC]</ref>.