Magindu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kiungo
No edit summary
Mstari 18:
 
}}
'''Magindu''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya ya Kibaha Vijijini]] katika [[Mkoa wa Pwani]], [[Tanzania]] yenye [[postikodi]] [[namba]] '''61211 ''' <ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf</ref>. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,991 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Pwani - Kibaha DC]</ref> walioishi humo.
 
Magindu imepakana na [[Wilaya ya Morogoro vijijini]] kwa upande wa kusini na magharibi, kata ya [[kwala]] kwa upande wa mashariki na Mji wa [[Chalinze]] kwa upande wa kaskazini. Kijiji cha Magindu kilitokana na neno la [[Kikwele]] "ng'indu" lenye maana ya kima kwa Kiswahili waliopatikana kipindi cha ujenzi wa [[reli ya kati]] toka Dar kwenda Kigoma iliyopitia kijiji hapo.