Tofauti kati ya marekesbisho "Selsiasi"

1 byte removed ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
 
Kipimo hiki kilianzishwa na Msweden [[Anders Celsius]] (1701 - 1744). Yeye aliita halijoto ya kuchemka kwa maji kama 0°C na halijoto ya kuganda kuwa 100°C. Namna ya kuandika ilibadilishwa baadaye kinyume.
 
Selsiasi ni kipimo kinachotumika zaidi kimataifa katika maisha ya kawaida. Kisayansi vipimo vya Kelvini vimekuwa kawaida. Siku hizi ufafanuzi wa kisayansi ya Selsiasi ni ya kuwa kizio kimoja cha Selsiasi ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya [[sifuri halisi]] (=0° K au Kelvini sifuri) na [[kiwango utatu]] cha maji (maji kubadilika kutoka barafu kuwa kiowevu (majimaji).
 
[[Category:Vipimo]]