Solistasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 53:
|20||03:50||20||21:44||22||13:31||21||10:02
|}
'''Solistasi''' (pia:'''solistisi''', kutoka [[ing.]] ''[[:en:solstice|solstice]]''<ref>Asili ni neno la [[Kigiriki]] ἡλιοστάσιον ''hēliostásion'' "kusimama kwa Jua")</ref>) ni jina la siku mbili katika mwaka ambako tofauti bainakati ya urefu wa mchana na usiku ni kubwa zaidi kuliko siku zingine. InatokeaHutokea mara mbili kwa mwaka. Mtazamaji aliye kwenye ikweta haiwezi kuiona lakini kadri anavyokaa upande wa kusini au kaskazini wa ikweta tofauti huwa kubwa zaidi.
 
Tarehe zakeya kwanza ni 20 au 21 Juni halafuna ya pili ni tarehe 21 au 22 Desemba.
 
Watu wanaoishi sehemu za jirani na Ikweta huwa hawatambui tofauti ya muda wa mchana na usiku, ila kadri anavyokaa zaidi upande wa kusini au kaskazini wa Ikweta, tofauti huwa kubwa zaidi. .

Kwa kawaida kuna tofauti kati ya urefu wa mchana na usiku isipokuwa karibu nakwenye ikweta. Karibu na ncha za dunia muda wa usiku na mchana unaweza kuwa mrefu hadi karibu nusu mwaka lakini kwa kawaida kuna majira ya mchana mrefu na usiku mrefu zinazobadilishana polepole. Mwendo huu unatokea kinyume kwenye nusutufe mbili za dunia yaani wakati mchana unarefuka kwenye nusutufe ya kaskazini usiku unarefuka kwenye nusutufe ya kusini.
 
Katika kanda karibu na ikweta hazionekani kirahisi lakini kwenye nusutufe za dunia upande wa kusini na kaskazini ya ikweta zimetambuliwa tangu karne nyingi na zimekuwa siku muhimu kwa makadirio ya [[kalenda]] mbalimbali.
Line 66 ⟶ 68:
 
Vivyo hivyo wakati wa Desemba Jua Jua linafika mahali pa juu kwenye anga kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya Dunia, baadaye inaanza kushuka yaani kuonekana chini zaidi angani hadi [[Sikusare machipuo|sikusare ya Machi]]. Siku ileile Jua linafika mahali pa chini angani pawezekanavyo kwa mtazamaji kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya Dunia.
 
 
==Marejeo==