Desemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q126 (translate me)
Nimeongeza Desemba kuwa na solatasi ya kusini.
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
{{Desemba}}
'''Desemba''' ni [[mwezi]] wa kumi na mbili katika [[kalenda ya Gregori]] na ni kati ya miezi saba katika kalenda hiyo yenye siku 31. Neno Desemba limetokana na neno la [[Kilatini]] "decem" linalomaanisha "kumi." Desemba ulikuwa ni mwezi wa kumi katika kalenda ya [[Kirumi]].
 
Tarehe 21 ya mwezi huo wa Desemba (katika miaka mingine inawezekana kuwa tarehe 20 au 22) ni siku ya solistasi ya Kusini (kutoka Kiingereza solstice), yaani wakati jua linapokuwa kusini kabisa mwa Ikweta.
 
Neno Desemba limetokana na neno la [[Kilatini]] "decem" linalomaanisha "kumi." Desemba ulikuwa ni mwezi wa kumi katika kalenda ya [[Kirumi]].
 
{{wiktionary}}