Desemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza Desemba kuwa na solatasi ya kusini.
Tags: Mobile edit Mobile web edit
J capitalised in Jua
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 2:
'''Desemba''' ni [[mwezi]] wa kumi na mbili katika [[kalenda ya Gregori]] na ni kati ya miezi saba katika kalenda hiyo yenye siku 31.
 
Tarehe 21 ya mwezi huo wa Desemba (katika miaka mingine inawezekana kuwa tarehe 20 au 22) ni siku ya solistasi ya Kusini (kutoka Kiingereza solstice), yaani wakati juaJua linapokuwa kusini kabisa mwa Ikweta.
 
Neno Desemba limetokana na neno la [[Kilatini]] "decem" linalomaanisha "kumi." Desemba ulikuwa ni mwezi wa kumi katika kalenda ya [[Kirumi]].