Kutubu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 34:
Kutubu ilitambuliwa kwenye mwaka 1780 na [[William Herschel]] kwa darubini kuwa [[nyota pacha]] yaani mfumo wa nyota mbili za α Umi A na α Umi B. Wakati ule darubini ya Herschel ilikuwa kati ya vifaa bora duniani. Kwa kutumia [[Darubini ya Angani ya Hubble]] ilitambuliwa kwenye mwaka 2006 ya kwamba pia nyota ya A yenyewe ni nyota pacha na sasa Polaris yote inajulikana kama mfumo wa nyota tatu zinazoitwa α Umi A<sup>1</sup>, α Umi A<sup>2</sup> na α Umi B.
Nyota kuu ni Kutubu
Kutubu A1 (Polaris Aa) ina masi ya Jua mara 5 iking’ara mara 1200 kuliko Jua letu. Kutokana na mng’aro mkubwa inapangwa katika kundi la [[nyota jitu kuu]].
|