Kutubu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 40:
 
Katika kumbukumbu za kale si Kutubu iliyoangaliwa kuwa nyota ya kuonyesha mwelekeo wa kaskazini. Ptolemaio aliitaja kama « kwenye mkia wa Dubu Mdogo » <ref>Toomer (1984), uk. 341</ref> Miaka 2000 iliyopita nyota iliyokuwa karibu zaidi na ncha ya kaskazini ya anga ilikuwa Kochab (β Ursae Minoris ). Kutokana na [[kusogeza kwa mhimili wa mzunguko]] (ing. [[:en:precession]]) pia Kutubu imefika katika nafasi hii takriban miaka 400 iliyopita na bado inaendelea kukaribia hadi mwaka 2100; baadaye itaendelea polepole kusogea tena mbali na ncha ya kaskazini ya anga. Baada ya miaka 12,000 Vega katika [[Kinubi (kundinyota)|Kinubi]] itakuwa nyota ya ncha ya kaskazini jinsi ilivyowahi kuwa miaka 14,000 iliyopita.
 
{| class="wikitable sortable"
|+ Nyota za Ncha ya Kaskazini
! mwaka !! Nyota kwenye nafasi ya „Nyota ya Ncha“
|-
| 12000–11500 [[KK]] || [[Vega]] (Alfa Lyrae)
|-
| 7500 KK || [[Rakisi (Kundinyota)|Tau Herculis]]
|-
| 2900–2795 KK || Thuban (Alfa Draconis)
|-
| ca. 1500 [[BK]] || Yildun (Delta UMi)
|-
| 2000 || Kutubu (Alfa UMi)
|-
| 4000 || Errai (Gamma Cephei)
|-
| 6800 || Zeta Cephei
|-
| 7500 || Alderamin (Alfa Cephei)
|-
| 10000–11000 || takriban [[Dhanabu ya Dajaja]] (Alfa Cygni)
|-
| 11400 || [[Delta Cygni]]
|-
|14000 || Vega
|-
| 30000 || takriban [[Dabarani]]
|-
| 50000 || [[Mizari]] (Dubu Mkubwa)
|}
 
==Tanbihi==