Nicolas-Louis de Lacaille : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Lacaille alisoma [[theolojia]] (ya kikatoliki) lakini baadaye alikazia elimu ya [[hisabati]] na [[astronomia]]. Mwaka 1746 alikuwa profesa wa hisabati na hapo alishughulika masahihisho ya orodha za nyota.
 
Mwaka 1750 alisafiri [[Afrika Kusini]] kwa miaka 4 na hapo alikaa miaka minne kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] alipotaka kutazama hasa [[Mwezi]] na [[sayari]] za [[Zuhura]] na [[Mirihi]]. Alipima pia nyota nyingi za anga ya kusini ambayo haikueleweka bado kwa wanaastronomia wa Ulaya na hapo aliorodhesha nyota karibu 10,000.
 
Alipanga majina ya Bayer kwa [[Argo (kundinyota)|kundinyota ya Argo]] na kuigawa baadaye kwa kundinyota tatu mpya za [[Shetri (kundinyota)|Shetri]], [[Mkuku (kundinyota)|Mkuku]] na [[Tanga (kundinyota)|Tanga]].
 
[[Category:waliozaliwa 1713]]