Roketi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Soyuz rocket ASTP.jpg|thumb|upright|Roketi aina ya [[Soyuz-U]], huko [[Baikonur cosmodrome]] katika nchi ya [[Kazakistani]].]]
'''Roketi''' ([[Kiingereza]] ''rocket'') ni chombo chenye umbo la bomba kinachopazwa angani kwa nguvu ya gesi inayotoka nje. Tofauti na [[injini ya jeti]] roketi hubeba fueli yote ndani yake kwa hiyo inafanya kazi pia katika [[ombwe]] pasipo na [[oksijeni]] au dutu nyingine inayohitajika kwa kuchoma fueli ndani ya injini yake.
Roketi hutumiwa kama [[silaha]] ya kijeshi, kama alama kiashiria katika hali ya dharura, [[fataki]] na kwa [[usafiri wa anga la nje]].
{{tech-stub}}
[[Jamii:Silaha]] [[Jamii:Usafiri wa anga la nje]]
|