Kundi la majarra : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kundi la galaksi''' ni idadi ya galaksi zinazoshikamana katika anga la ulimwengu. Maana zinaathiriana kwa njia ya graviti yao. Katika mpangilio h...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kundi la galaksi''' (ing. [[:en:galaxy group|galaxy group]]) ni idadi ya [[galaksi]] zinazoshikamana katika [[anga la ulimwengu]]. Maana zinaathiriana kwa njia ya [[graviti]] yao. Katika mpangilio huu ni hadi galaksi 50 zinazotazamiwa kuwa kundi.
 
Kama idadi ya galaksi zinazoshikamana ni kubwa zaidi jumla hii ni [[fundo la galaksi]].